Kuhusu Sisi

Ujenzi Makini ni mtandao unaohusika na huduma zifuatazo

  1. Tunatoa elimu na ushauri kwa mambo yote yanayohusu ujenzi na changamoto zote za kiufundi na kitaaluma katika fani ya ujenzi kwa lengo la kuboresha zaidi huduma na mazingira ya ujenzi kwa ujumla.
  2. Tunatoa ushauri juu ya njia sahihi za kufuata unapofanya ujenzi sambamba na kufuata taratibu zilizowekwa na mamlaka husika ili kuepuka kuingia kwenye mivutano na vyombo husika.
  3. Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu kwenye ujenzi kuanzia upatikanaji wa ramani, vibali vya ujenzi, usimamizi wa ujenzi na hata mafundi bora wa kuaminika na wa uhakika