Entries by Ujenzi Makini

AINA 7 ZA MICHORO YA JENGO UNAZOHITAJI.

Moja kati ya changamoto kubwa zinazojitokeza pale mteja anayehitaji huduma ya michoro ya ramani anapokutana na mtaalamu ni kushindwa kuelewana juu ya gharama za huduma hizo kutokana na kukosa uelewa wa ukubwa wa kazi husika kwa upande wa mteja. Kwanza kabisa uelewa wa namna kazi inavyofanyika na mchakato mzima inaopitia huwa hauko wazi kwa mteja, […]