Entries by Ujenzi Makini

KUJUA BEI YA RAMANI YA NYUMBA/JENGO KWENYE UJENZI.

Katika dunia ya sasa ambapo soko huria limeendelea kushika kasi sana baada ya mifumo karibu yote ya kiuchumi duniani ikijikuta inaangukia kwenye mfumo wa kibepari au uchumi wa soko huria, gharama ya vitu vingi tumeona ikiendelea kuamuliwa na soko badala ya kupangwa kama ilivyokuwa inafanywa na baadhi ya serikali hapo zamani. Hili limepelekea pia watu […]

UNAJUAJE JENGO LAKO LIMEZINGATIA VIGEZO MUHIMU KABLA HUJAWEKA FEDHA? FANYA HIVI.

Siku zote binadamu tunatofautiana sana kwa mambo mengi, japo kwenye maisha tunajikuta tukijihusisha na vitu lakini sio vitu vyote huwa vinateka umakini wetu na sisi kuvipa uzito mkubwa. Kuna vitu vingi sana viko kwenye maisha yetu ambavyo tunajihusisha navyo lakini ni vichache tu ambavyo huwa vinatuvutia kiasi cha kuvipa umakini wetu. Hili limepelekea kwa maeneo […]

JE UNA UHAKIKA UTARIDHIKA NA RAMANI YA NYUMBA/JENGO LAKO? FANYA HIVI.

Licha ya kwamba watu wengi huwa wana vipaumbele vyao mbalimbali linapokuja suala la nyumba zao za kuishi au hata majengo yao mengine kama vile majengo ya biashara, taasisi za kijamii n.k., lakini mara kwa mara wamekuwa hawafanikishi kile hasa wanachohitaji kwa kushindwa kujipanga vizuri wanapokuwa kwenye mchakato wa kukamilisha hatua ya michoro ya ramani. Hili […]

KUEPUKA USUMBUFU NA KUPOTEZA MUDA PELEKA MICHORO NA HATI VIKAKAGULIWE KABLA YA KUOMBA KIBALI.

Japo siku hizi kwenye halmashauri nyingi za miji, manispaa, majiji na hata wilaya mchakato wa kupata kibali cha ujenzi umekuwa rahisi zaidi na hata wa muda mfupi zaidi kuliko zamani lakini bado kuna usumbufu mwingi hujitokeza katika zoezi hilo la kuchakata kibali cha ujenzi ikiwa kuna mambo hayajazingatiwa. Makosa yanaweza kuwepo kuanzia kwenye matumizi ya […]