Entries by Ujenzi Makini

TENGENEZA PARADISO YAKO HAPA DUNIANI.

Watu wengi wanoamini neno la Mungu wanaamini kwamba baada ya maisha ya hapa duniani wataenda kuishi paradiso, sehemu yenye kuvutia sana watakayoishi kwa raha mustarehe baada ya matendo mema na imani kwa Mungu wakiwa hapa duniani. Na kwa hakika hilo ni jambo jema sana. Paradiso ni eneo lenye uzuri wa asili, lenye kuvutia sana lisilokuwa […]

ENEO LA BUSTANI NYUMBANI, NYUMBA YAKO SIO KARAKANA.

Katika suala zima la ujenzi, hasa ujenzi wa makazi watu wamekuwa wakiweka umakini mkubwa zaidi kwenye ujenzi wa jengo la nyumba na kuweka umakini kidogo sana kwenye mandhari inayoizunguka nyumba kitu kinachopelekea kukosekana kwa umakini wa kimpangilio. Jambo muhimu sana la kuzingatia ni kwamba makazi ya kuishi ni eneo linalotakiwa kuwa na mandhari bora yenye […]

NI BORA KUJIKUSANYA UKAJENGA NYUMBA YAKO TARATIBU KULIKO KUHARAKISHA NA KULIPUA

Binadamu kiasili tumeumbwa kuvutiwa na kutamani matokeo ya mwisho wa jambo lolote bila kujali mchakato wake ulivyoenda, ambapo mtazamo huu umekuwa ukiongezea nguvu na msemo wa kiingereza unaosema, “the end justifies the means” ikimaanisha mwisho wa kitu ndio huweza kuelezea mchakato wake, yaani ilimradi tu ufike mwisho kisha njia uliyopitia au mchakato utajieleza wenyewe baada […]

KUTUMIA GHARAMA KUBWA PEKEE HAITOSHI, UJENZI BORA UNAHITAJI UTAALAMU SAHIHI.

Imekuwa ni jambo la kusikitisha sana mtu unapokutana na majengo mbalimbali ya makazi, biashara, taasisi mbalimbali, ofisi, viwanda n.k., na kukutana na majengo makubwa ambayo yamegharimu fedha nyingi sana kujengwa lakini yakiwa na ramani za viwango duni sana. Hili linasikitisha sana kwa sababu unaona wazi kwamba fedha iliyotumika kujenga ni kubwa sana na ilihitajika kutolewa […]