SIFA/TABIA ZA MALIGHAFI YA VIOO.

-Uwazi, uwazi wa vioo unasaidia mtu aliyeko ndani kuona moja kwa moja nje na kifanya kuwa malighafi sahihi sana kwa paneli za madirisha, hata hivyo sifa hii inaweza kuondolewa kwenye kioo ikiwa haihitajiki.

Vioo huwezi kuwa na uwazi ambao humruhusu mkazi wa jengo kuona nje moja kwa moja.

-U value(kupoteza joto), kiwango cha kioo kupoteza joto kinapokuwa juu inasaidia zaidi kwani inapunguza joto ndani ya jengo.

– Uimara, japo kioo ni malighafi inayovunjika kiurahisi inapokutana na msukumo au mzigo wa kawaida lakini maendeleo ya sayansi na teknolojia yamesaidia kuboresha uimara wa kioo kiasi kwamba imefikia uimara mkubwa sana.

Vioo huwa na tabia ya kuvunjika kiurahisi lakini siku hizi vimeboreshwa na kuwa imara kiasi kwamba vimekuwa vigumu sana kuvunjika.

Architect Sebastian Moshi

Whatsapp/Call +255717452790

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *