EPUKA HASARA NA MAJUTO NA OKOA FEDHA KWENYE UJENZI

Unahitaji Mchoro wa Ramani Yenye Muonekano Bora wa Kipekee na Mpangilio Sahihi Itakayoleta Heshima na Ufahari, Kipekee Kabisa Kwako.

– Kazi Nyingi za Ujenzi Ni Za Hovyo na Za Viwango Duni Kwa Sababu Watu Hawazingatii Utaalamu Katika Mpangilio Sahihi na Mvuto wa Kipekee.

– Sisi Kazi Yetu ni Kuweka Umakini Mkubwa Katika Mpangilio Sahihi na Mvuto Maridadi wa Kipekee Kabisa wa Nyumba Yako.

– Mpangilio Sahihi Utakuepusha na Hasara Zisizo za Lazima na Mvuto wa Kipekee Utakuletea Heshima na Ufahari Sambamba na Kukuepusha na Majuto Ya Maisha Yote Ya Nyumba Yako.

– Chukua Hatua Sasa Kuanza Kutengeneza Ramani Ya Nyumba Yako Ili Kupunguza Gharama Ambazo Zinapanda Bei Kila Siku, Chukua Hatua Leo Kuepuka Hasara Ya Muda Inayopelekea Hasara Kubwa Ya Fedha Mbeleni.

– Haijalishi Umejiandaa Kiasi Gani, Anza Mchakato wa Ujenzi Sasa na Utakaokoa Gharama Zaidi Ya Vile Unavyoendelea Kuchelewa.

Karibu Sana.

Architect Sebastian Moshi.

Whatsapp/Call +255717452790.

5 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *