UJENZI USALAMA MAHALI PA KAZI.

Usalama mahali pa kazi bado ni suala lisilopewa uzito hususan kwa miradi ya kawaida ya mtaani ambayo haipewi umakini na taasisi husika lakini ajali zake zipo na huwa zinakuja na gharama kubwa. Tunapaswa kuongeza kipaumbele sana kwenye eneo hili la usalama mahali pa kazi sio kwa sababu tu tunaziogopa au tunataka kuzifurahisha mamlaka husika kama tahadhari kwetu wenyewe na kitendo cha upendo katika kujilinda na kulinda watu wengi.

SUALA LA KUJENGA BILA KUZINGATIA USALAMA MAHALI PA KAZI IMEKUWA NI MAZOEA, HIVYO BADO TUNA KAZI KUBWA YA KUELEMISHA KUHUSU SUALA HUSIKA.

UJENZI UNAOZINGATIA USALAMA MAHALI PA KAZI UNASAIDIA HATA KUONGEZA UBORA WA KAZI.

Architect Sebastian Moshi.

Whatsapp/Call +255 717 452 790.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *