KILA RAMANI YA UJENZI INA MALENGO YAKE.

Mara nyingi watu wamekuwa wakifikiri kwamba kazi za ubunifu na haswa sanaa zinafanyika tu kama ajali na kuwapa wahusika umaarufu mkubwa na mafanikio pia.  Hili kwa nje linaweza kuonekana kwamba ni jambo la kawaida lakini kwa ndani utakuta kuna tatizo kubwa nyuma yake.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *