Vibali
Tunashulikia vibali vya ujenzi na stika za bodi za ujenzi.
Tunaandaa michoro mbalimbali ya majengo (pre-contract)
Tunatoa Ushauri wa kitaalamu kabla ya Ujenzi.
Tunasimamia Ujenzi (post-contract)
Tunashulikia vibali vya ujenzi na stika za bodi za ujenzi.
Tunakusaidia na kukuonesha mafundi ambao ni wazuri kwa ujenzi wako.
Tunatembelea Miradi yenye Changamoto na kutoa ushauri.
Tunajenga majengo ya aina mbalimbali.
Wataalamu Tulionao
Wateja Tuliowafikia
Kazi Tulizokwisha Fanya
ya Uzoefu
Sehemu sahihi kwako unaehitaji jengo bora
1. Tunatoa elimu na ushauri kwa mambo yote yanayohusu ujenzi na changamoto zote za kiufundi na kitaaluma katika fani ya ujenzi kwa lengo la kuboresha zaidi huduma na mazingira ya ujenzi kwa ujumla.
2. Tunatoa ushauri juu ya njia sahihi za kufuata unapofanya ujenzi sambamba na kufuata taratibu zilizowekwa na mamlaka husika ili kuepuka kuingia kwenye mivutano na vyombo husika.
3. Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu kwenye ujenzi kuanzia upatikanaji wa ramani, vibali vya ujenzi, usimamizi wa ujenzi na hata mafundi bora wa kuaminika na wa uhakika.