NAMNA SAHIHI YA KUDHIBITI WIZI KWENYE MIRADI BINAFSI YA UJENZI UNAYONUNUA VIFAA.
Mara nyingi tumekuwa tukishauri kwamba mtu yeyote anayeamua kujenga kama mtu binafsi na wakati mwingine mpaka taasisi binafsi basi ni vyema suala la kununua vifaa vya ujenzi anunue mwenyewe japo kwa msaada wa ushauri na maelezo kutoka kwa mtu au kampuni inayomfanyia ujenzi. Lengo la kushauri hivi ni kwa sababu mara nyingi mradi wa ujenzi […]
