Entries by Ujenzi Makini

UBORA KWENYE UJENZI HAUNA MBADALA.

Ikiwa mtu ameniuliza ni kitu gani cha kwanza utamshauri mtu yeyote anayetaka kuanza ujenzi wa mradi wa jengo lake kuweka kipaumbele? Nitamjibu bila kusita wala kumung’unya maneno kwamba zingatia ubora katika kila hatua. Suala la ubora katika mradi wa aina yoyote wa ujenzi ni jambo ambalo bado halipewi uzito unaostahili. Hiki ni kitu ambacho kinashangaza […]

USANIFU MAJENGO NA UJENZI – 28 KUSHINDA KESI YA UJENZI

KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Bodi ya wakurugenzi inaweka kikao na Gail Wynand na kuhoji maamuzi yake kwenye kampuni yanayosababisha kuiweka kampuni kwenye migogoro. Wanamhoji Gail Wynand kwa nini anamtetea Howard Roark na kwa nini amewafukuza kazi wafanyakazi wanne wakubwa ndani ya kampuni. 2. Hata hivyo Gail Wynand ndio mmiliki na mwenye kura nyingi […]