RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA YA KUPANGISHA
RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA YA KUPANGISHA. RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA YA KUPANGISHA. RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA YA KUPANGISHA. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
This author has yet to write their bio.Meanwhile lets just say that we are proud Ujenzi Makini contributed a whooping 773 entries.
RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA YA KUPANGISHA. RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA YA KUPANGISHA. RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA YA KUPANGISHA. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
NYUMBA YA KAWAIDA ILIYOBADILISHWA KUWA GHOROFA. NYUMBA YA KAWAIDA ILIYOBADILISHWA KUWA GHOROFA. NYUMBA YA KAWAIDA ILIYOBADILISHWA KUWA GHOROFA. NYUMBA YA KAWAIDA ILIYOBADILISHWA KUWA GHOROFA. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
UKUMBI MKUBWA WA KISASA. UKUMBI MKUBWA WA KISASA. UKUMBI MKUBWA WA KISASA. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
Katika dunia ya sasa ambapo soko huria limeendelea kushika kasi sana baada ya mifumo karibu yote ya kiuchumi duniani ikijikuta inaangukia kwenye mfumo wa kibepari au uchumi wa soko huria, gharama ya vitu vingi tumeona ikiendelea kuamuliwa na soko badala ya kupangwa kama ilivyokuwa inafanywa na baadhi ya serikali hapo zamani. Hili limepelekea pia watu […]
Wote tunajua kwamba kazi yoyote ya kitaalamu au inayoongeza thamani kubwa kwenye kitu huwa ina gharama na ile gharama inayolipiwa ndio inaweka nia kwa mtaalamu kuweka muda wake na umakini wake mkubwa sambamba na utaalamu wake kuweza kutengeneza thamani inayokusudiwa. Hivyo msukumo wa ndani wa mtu kufanya kazi na hasa kufanya kazi nzuri kunasababishwa na […]
Siku zote binadamu tunatofautiana sana kwa mambo mengi, japo kwenye maisha tunajikuta tukijihusisha na vitu lakini sio vitu vyote huwa vinateka umakini wetu na sisi kuvipa uzito mkubwa. Kuna vitu vingi sana viko kwenye maisha yetu ambavyo tunajihusisha navyo lakini ni vichache tu ambavyo huwa vinatuvutia kiasi cha kuvipa umakini wetu. Hili limepelekea kwa maeneo […]
Licha ya kwamba watu wengi huwa wana vipaumbele vyao mbalimbali linapokuja suala la nyumba zao za kuishi au hata majengo yao mengine kama vile majengo ya biashara, taasisi za kijamii n.k., lakini mara kwa mara wamekuwa hawafanikishi kile hasa wanachohitaji kwa kushindwa kujipanga vizuri wanapokuwa kwenye mchakato wa kukamilisha hatua ya michoro ya ramani. Hili […]
Japo siku hizi kwenye halmashauri nyingi za miji, manispaa, majiji na hata wilaya mchakato wa kupata kibali cha ujenzi umekuwa rahisi zaidi na hata wa muda mfupi zaidi kuliko zamani lakini bado kuna usumbufu mwingi hujitokeza katika zoezi hilo la kuchakata kibali cha ujenzi ikiwa kuna mambo hayajazingatiwa. Makosa yanaweza kuwepo kuanzia kwenye matumizi ya […]
Moja ya kati ya changamoto ambazo nimekuwa nakutana nazo mara kwa mara sana katika kazi za ujenzi na hususan wakati wa kutengeneza ramani za nyumba ni maelewano kati ya wenza juu ya namna wanataka nyumba yao iwe. Japo sio kwa familia zote lakini angalau kwa wengi hutokea hivyo na hasa pale ambapo unakuta mwanaume anaamua […]
Moja kati ya makosa makubwa yamekuwa yakifanywa na watu wanaofanya miradi yao ya ujenzi ni pamoja na kuamini watu wanaokwenda kufanya miradi yao ya ujenzi bila kuwathibitishia kwamba ni watu sahihi wa kuendesha miradi hiyo ya ujenzi. Hili limekuwa likipelekea watu kuumizwa sana na watu hao kwa namna mbalimbali kuanzia kutokuwa ni watu wenye ujuzi […]
Ujenzi Makini ni Mtandao unaotoa elimu na ushauri kwa mambo yote yanayohusu ujenzi na changamoto zote za kiufundi na kitaaluma katika fani ya ujenzi kwa lengo la kuboresha zaidi huduma na mazingira ya ujenzi kwa ujumla.
Dar es Salaam, Tanzania.
+255 717 452 790
info@ujenzimakini.com