GHOROFA LA KIFAHARI – MOSHI
GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
This author has yet to write their bio.Meanwhile lets just say that we are proud Ujenzi Makini contributed a whooping 767 entries.
GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. GHOROFA LA KIFAHARI LA KUISHI – MOSHI. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
HOTELI NZURI YA BARABARANI – TANZANIA. HOTELI NZURI YA BARABARANI – TANZANIA. HOTELI NZURI YA BARABARANI – TANZANIA. HOTELI NZURI YA BARABARANI – TANZANIA. HOTELI NZURI YA BARABARANI – TANZANIA. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
GHOROFA YA KUISHI NA BUSTANI YA KISASA. GHOROFA YA KUISHI NA BUSTANI YA KISASA. GHOROFA YA KUISHI NA BUSTANI YA KISASA. GHOROFA YA KUISHI NA BUSTANI YA KISASA. GHOROFA YA KUISHI NA BUSTANI YA KISASA. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
Kitu cha kwanza ambacho utakuta kujutia ambacho watu wengi pia hujutia sana baadaye wakati unafanya ujenzi kwa mara ya kwanza ni kukosa uelewa juu ya gharama za ujenzi. Mara watu hufikiri kwamba kuna namna wanaweza kupunguza gharama za ujenzi hivyo hujaribu kuvutiwa na watu wanaoonekana kumwambia kuhusu gharama kidogo kwenye ujenzi bila kujihangaisha na uhalisia […]
Watu wengi wanajua kabisa kwamba kufanya mradi wake wa ujenzi na kampuni kuna faida nyingi na muhimu kuliko kufanya ujenzi na mafundi wa mtaani. Watu wanajua kwamba manufaa wanayoweza kupata kwenye kampuni ni pamoja na kufanyia kazi kwa uaminifu, kazi kutokukimbiwa, kusaidiwa kutatuliwa changamoto za kwenye halmashauri za miji, manispaa na majiji, mradi kupangiliwa vizuri […]
Licha ya kwamba siku hizi miradi mingi ya ujenzi inahitaji mpaka ukamilishe michoro ya ramani kwanza kisha ndio ukaombe kibali kwenye halmashauri ya mji, manispaa au jiji kwanza ndio uruhusiwe kuanza ujenzi hasa kwa maeneo yote ya mjini lakini bado kuna watu wengi wanaamini baada ya kupata kibali cha ujenzi inabidi utafute fundi wa kawaida […]
Watu wengi wanaamini kwamba kwa kuwa mtu amejihusisha na ujenzi kwa muda mrefu au kwa kuwa mtu ni mhandisi au msanifu wa ujenzi mwenye uzoefu basi anaweza tu kufahamu gharama za ujenzi wa jengo lolote atakaloonyeshwa. Kwa sababu hiyo wapo watu wengi ambapo wengine ni wataalamu kwenye sekta ya ujenzi huku wengine wakiwa ni mafundi […]
Baadhi ya watu wameanza kuona umuhimu wa kujenga nyumba zao kwa kutumia kampuni badala ya kutumia mafundi wa mitaani. Hili limekuja baada ya watu kuanza kuona athari na changamoto nyingi za kiufundi sambamba na wizi wa vifaa vya ujenzi unaochochea sana ubovu wa huduma hizo za kitaalamu. Hivyo baadhi ya watu wameanza kufanya kazi zao […]
Hili suala la kupunguza gharama za ujenzi kwenye miradi ya aina zote za ujenzi limekuwa ni moja kati ya mijadala ambayo imekuwa ikijadiliwa wakati wote, tafiti nyingi zimefanyika na zinaendelea kufanyika kuja na mbinu zaidi za kuweza kupunguza gharama hizo. Ukweli ni kwamba gharama za ujenzi kwa mtazamo wa watu wengi kwa ngazi zote za […]
UJENZI WA HOTELI SOWETO, MBEYA. HOTELI MBEYA. UJENZI WA HOTELI UNAENDELEA. UJENZI WA JENGO LA HOTELI UKIENDELEA. Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255 717 452 790.
Ujenzi Makini ni Mtandao unaotoa elimu na ushauri kwa mambo yote yanayohusu ujenzi na changamoto zote za kiufundi na kitaaluma katika fani ya ujenzi kwa lengo la kuboresha zaidi huduma na mazingira ya ujenzi kwa ujumla.
Dar es Salaam, Tanzania.
+255 717 452 790
info@ujenzimakini.com