IKIWA UNAPATA CHANGAMOTO ZA KUPATA WATU WAAMINIFU WA KUFANYA NAO KAZI KARIBU.

Kama nilivyotangulia kusema kwenye makala zilizopita linapokuja suala la ujenzi basi tabia ya uaminifu kwa fundi au mkandarasi anayepewa kazi ni jambo la lazima ikiwa unahitaji mradi wa ujenzi umalizike vizuri na kwa amani bila mivutano na ubabaishaji. Lakini changamoto ni kwamba tabia ya uaminifu ndio tabia adimu zaidi katika tabia za watu, inachukua muda mrefu sana kujua kama mtu ni mjinga kiasi vinginevyo utajikuta nawe tayari umeshaingia kwenye matatizo.

Lakini pamoja na yote hayo sisi tumejenga mtandao wa wadau wa kwenye tasnia ya ujenzi ambapo kila changamoto inayojitokeza tunaongeza uwezo wa namna ya kuitatua. Hivyo unaweza kutupigia muda wowote na tukakusikiliza na kutatua changamoto yoyote unayopitia ikiwa ni pamoja na kupata watu sahihi na wenye uwezo kwetu.

Karibu sana.

Architect Sebastian Moshi.

Whatsapp/Call +255 717 452 790.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *