NJIA BORA YA KUKABILIANA NA MRADI WA UJENZI.
Falsafa hii ya ujenzi ya “lean construction” imepata umaarufu mkubwa sio kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya matokeo bora sana yanayopatikana baada ya falsafa hii kuingizwa kwenye utekelezaji kwa usahihi.
Falsafa hii ya ujenzi ya “lean construction” inapoingizwa kwenye utekelezaji kwa usahihi na umakini mkubwa inaruhusu timu za ujenzi kuanzia washauri wa kitaalamu mpaka wakandarasi kukamilisha kazi zao kwa ufanisi mkubwa na kwa mafaniko makubwa huku ikiwaacha wafanyakazi na wateja wa miradi hii ya ujenzi wakiwa na furaha kubwa na kuridhika sana na kilichofanyika na namna kilivyofanyika.
Hivyo falsafa ya ujenzi ya “lean construction” ni njia bora sana na inayopendekezwa sana kutumiwa na makampuni ya ujenzi na hata watu binafsi katika kutekeleza miradi ya ujenzi kwa ajili ya matokeo bora na mafanikio makubwa ya miradi hii.
Architect Sebastian Moshi
Whatsapp/Call +25571745270.
Leave a Reply
Want to join the discussion?Feel free to contribute!