KARIBU KWA USHAURI WA KITAALAMU JUU YA UJENZI

Jambo la kwanza kabisa unalopaswa kufikiria unapotaka kujenga linapaswa kuwa unapata wapi mtaalamu wa kukushauri juu ya ujenzi wa mradi wako kadiri ya hali yako ilivyo kwa ujumla na kile unacholenga kufanikisha.

USHAURI WA KITAALAMU NI MUHIMU SANA KATIKA KUKUPUNGUZIA MAKOSA YASIYO YA LAZIMA

Kupata ushauri sahihi wa kitaalamu mara nyingi kutakuepusha na majuto mbeleni pamoja na hasara ambayo wakati mwingine inaweza kuwa kubwa sana. Uzuri ni kwamba ushauri peke yake ni gharama nafuu sana na mara nyingi ni sehemu ya mradi wenyewe wa ujenzi.

Jambo la muhimu la kuzingatia ni kwamba hakuna mradi wa ujenzi usiohitaji ushauri wa kitaalamu au hakuna mradi wa ujenzi ambao unatanguliwa na ushauri wa kitaalamu ukaacha kuongeza thamani kwenye mradi husika na mara nyingi pia kusaidia kuokoa gharama na kuepusha hasara pia.

UMUHIMU MKUBWA ZAIDI WA USHAURI WA KITAALAMU KATIKA UJENZI NI KUSAIDIA KUOKOA GHARAMA ZISIZO ZA LAZIMA

Karibu sana kwa angalau ushauri ambao utakupa mwanga wa kujua ni wapi unaanzia na pengine unapaswa kuanza sasa hivi kulingana na uhalisia na mahitaji ya mradi wako kwa ngazi ambayo upo kwa mchakato mzima wa ujenzi husika.

Architect Sebastian Moshi.

Whatsapp/Call +255717452790.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *