USIPUUZE UTAALAMU, MAKOSA KWENYE UJENZI NI UHAKIKA.

Watu wengi hupuuzia huduma za kitaalamu, wengine hupuuzia kuanzia katika hatua ya awali kabisa ya kuandaa michoro ya ramani wakati wengine hupuuzia wakati ujenzi unaendelea katika hatua ya kufanya mradi wenyewe. Haya yote mawili ni makosa makubwa na mara nyingi utakuja kulipia gharama kubwa zaidi kuliko hiyo ya kitaalamu unayojaribu kuikwepa.

Wakati mradi wowote wa ujenzi unaanza, kitu kimoja ambacho ni kanuni ya uhakika kabisa ambayo haiwezi kuvunjwa na utamaduni mwingine wa miaka mingi sana ila ni kwamba lazima katika mradi huo kutakuwa na makosa. Haijashilishi kazi hiyo imefanywa na mwanazuoni hodari wa viwango vikubwa duniani lakini ukipimwa kama namna nyingi.

Itaendelea kesho.

Ahsante sana

Architect Sebastiana Moshi.

Whatsapp/Call +255717452790.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *