Entries by Ujenzi Makini

UJENZI USIKUUMIZE KICHWA, OMBA USHAURI KWA WATAALAMU.

Mara nyingi makosa makubwa yanafanyika kwenye ujenzi yakiambatana na hasara kubwa kwa sababu tu ya mhusika mfanya maamuzi kukosa ushauri sahihi kwenye mradi wake. Kama tunavyojua kila eneo kwenye maisha lina utaalamu wake na kukosekana kwa utaalamu huo mara zote huambatana na makosa ambayo yangeondolewa au kupunguzwa kwa mtu kutafuta ushauri sahihi kwenye eneo husika. […]

UJENZI WA KANISA.

Watu wengi wamekuwa wakiulizia sana kuhusu ujenzi wa jengo la kanisa, utaalamu wake na gharama zake. Baadhi wamekuwa wakiwa na fikra na mitazamo tofauti juu ya ujenzi huu huku wengine wakiwa hawana uelewa mchakato wake ulivyo. Kiuhalisia ujenzi wa kanisa ni ujenzi kama ujenzi mwingine isipokuwa utofauti kati ya kanisa moja na jingine unategemea na […]