HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUEPUKA UGOMVI NA MWENZA WAKO NA FAMILIA KWA UJUMLA KUHUSU UJENZI WA NYUMBA YENU.
Moja ya kati ya changamoto ambazo nimekuwa nakutana nazo mara kwa mara sana katika kazi za ujenzi na hususan wakati wa kutengeneza ramani za nyumba ni maelewano kati ya wenza juu ya namna wanataka nyumba yao iwe. Japo sio kwa familia zote lakini angalau kwa wengi hutokea hivyo na hasa pale ambapo unakuta mwanaume anaamua […]
