UNAHITAJI UKARABATI GANI KATIKA JENGO LAKO?

Changamoto kwenye ujenzi huwa zipo mara kwa mara na mara nyingi kama kuna vitu havikufanyika kwa usahihi mwanzoni lazima huja kuleta shida baadaye hivyo kuna changamoto mbalimbali ambazo watu hupitia ambazo mara nyingi zimesababishwa na makosa yaliyofanyika wakati wa ujenzi.

CHANGAMOTO KUBWA NYINGI HUSABABISHWA NA MAKOSA YALIYOFANYIKA WAKATI WA UJENZI

Tatizo ni kwamba kadiri unapoipuuza changamoto hii ndivyo kadiri inavyokuwa kuwa kubwa zaidi na kuwa tatizo zaidi mbele na itakuja kukuletea gharama kubwa zaidi ambavyo ingekuletea kama ungefanya sahihi, kadiri unavyoendelea kuiahirisha ndivyo kadiri inavyozidi kukua zaidi na itakusababishia gharama kubwa. Hivyo weka jengo lako katika ubora na usahihi zaidi wakati bado ni mapema.

KADIRI UNAPOIPUUZA CHANGAMOTO INAENDELEA KUKUA ZAIDI NA GHARAMA ZA KUITATUA ZINAENDELEA KUONGEZEKA KILA SIKU

Architect Sebastian Moshi

Whatsapp/Call +255717452790

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *