TUMIA NJIA YA KUCHORA NA KUJENGA(DESIGN AND BUILD) KUOKOA MUDA, GHARAMA NA KUHAKIKISHA UBORA.

Njia ya kufanya mradi kwa namna ya kuchora na kujenga(design and build), kitu muhimu zaidi cha kwanza ni kwamba itakuondolea kabisa usumbufu na kukuokolea muda ambao ungehangaika mwenyewe kuvutana na kila mtu na bado mwisho wa siku unashindwa kufikia malengo ya ubora uliyojiwekea.

NJIA YA KUCHORA NA KUJENGA ITAKUONDOLEA USUMBUFU NA KUKUOKOLEA MUDA HUKU IKIKUSAIDIA KUFANIKISHA MALENGO ULIYOKUSUDIA

Sisi tutakusaidia kuhakikisha unakutana na timu sahihi imara ambayo inafanya kazi hiyo kwa bei nafuu na sahihi na kujihangaisha na kil aambpo utaletewa mapendekezo yote ya namna utaratibu utakavyokuwa ambapo wewe ukishajiridhisha unaweza kufanya maamuzi yatakayokuwa na manufaa makubwa kwa mradi wako ambao utayafurahia sana matokeo yake.

Karibu sana.

Architect Sebastian Moshi

Whatsapp/Call +255717452790

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *