UJENZI WA HARAKA UNAOZINGATIA MUDA NA WENYE UBORA

Kuna miradi ya ujenzi ambayo huwa inahitajika kufanyika kwa haraka yaani kwa muda mfupi iwe imekamilika kwa sababu aidha ni ya dharura au inahitajika haraka kwa sababu nyingine yoyote iweze kukabidhiwa ndani ya muda mfupi sana lakini ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu.

Huu ni ujenzi ambao kwa mfano nyumba ya ghorofa moja kwenda juu inajengwa na kumalizika na kuhamia ndani ya kipindi cha miezi miwili na nusu au mitatu lakini kwa viwango sahihi kabisa kwa uimara sahihi kabisa. Uwezo huu wa kufanya miradi mikubwa ya ujenzi kwa kipindi kifupi kiasi hiki inatokana na uzoefu mkubwa wa muda mrefu na kuwepo kwa timu nzuri ya ujenzi inayoelewana na iliyozoeana sambamba na ufanisi mkubwa kwenye usimamizi uliopo.

Jengo la ghorofa tatu linakamilika ndani ya kipindi cha miezi isiyozidi sita

Ikiwa unahitaji kazi inayohitajika kufanyika kwa haraka kiasi hiki unaweza kuwasiliana na sisi tukakusaidia kutokana na uzoefu tulionao.

Architect Sebastian Moshi

Whatsapp/Call +255717452790

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *