UTUMIAJI WA TOFALI ZA KUCHOMA AU TOFALI ZA “BLOCK”, ZA MCHANGA NA SARUJI

Licha ya kwamba aina zaidi za tofali za kujengea nyumba lakini watu wengi hujiuliza sana kati ya tofali za kuchoma na tofali za bloku au tofali za simenti ni zipi bora zaidi au angalau zipi zinafaa zaidi kwa ujenzi au kuhusu kulinganisha gharama za hizi aina mbili.

Mimi leo sitaingia ndani sana kwenye huu mjadala, hizo makala zitakuja kwenye makala za mbele zijazo leo nataka tu nikwambie kwamba mara nyingi kinachoamua aina gani kati ya hizi aina za tofali zitumike upatikanaji na utamaduni wa eneo husika zaidi kuliko sababu nyingine nyingi.

Architect Sebastian Moshi

Whatsapp/Call +255717452790

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *