KARIBUNI KUSOMA NA KUWEKA MAONI KWENYE TOVUTI YA MAKALA ZA UJENZI.

Habari ndugu msomaji wa makala zetu, tunatamani sana kusikia kutoka kwako juu ya mawazo ya aina yoyote yale uliyonayo ili utusaidie kuweza kuboresha makala zetu. Kuna mambo mengi ambayo kila mtu anayo na mawazo mbadala iwe ni kukosoa, kupongeza au ushauri wa namna yoyote ile tutaupokea na kuufanyia kazi.

Tunatamani sana kusikia kutoka kwako ewe msomaji na tutaheshimu sana mawazo yako na kuyaingiza kwenye utekelezaji kadiri yatakavyokuwa yanaendana na yale tunayoandika hapa.

Karibuni sana.

Architect Sebastian Moshi.

Whatsapp +255 717 452 790.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *