UJENZI WA HOTELI YA KITALII.
Ujenzi wa hoteli za kitalii na hata hoteli za aina zozote ni ujenzi kama ujenzi mwingine isipokuwa huu unahitaji ubunifu mkubwa kwenye ramani na mazingira yake. Hoteli ni tofauti na nyumba za kawaida au majengo ya ofisi kwa sababu hotelini ni sehemu ya kwa ajili ya kupumzika na kustarehe hivyo hoteli inapaswa kupewa kipaumbele kikubwa […]