UJENZI WA GHARAMA NAFUU KWA KUJENGA KWA AWAMU.
Kila njia ambayo unaweza kujaribu kuitumia katika kupunguza gharama za ujenzi ina faida zake na changamoto zake japo kuna nyingine zina faida kubwa zaidi kwa baadaye kwa mtu mvumilivu kuliko nyingine. Njia ya kutafuta unafuu wa gharama za ujenzi kupitia kujenga kwa awamu ni kati ya njia hizi muhimu na zenye faida zaidi kwa mtu […]