NAMNA YA KUZUIA UVUJAJI WA MAJI KWENYE PAA, BARAZA AU SAKAFU YA JUU.
-Kuzuia maji yanayotokea kwenye paa, concrete gutter, baraza au sakafu ya juu ni changamoto inayohitaji umakini, ubunifu na mbinu ya ziada kutokana na kwamba baraza au sakafu hizi ziko flat na maji husogea taratibu sana hivyo kupata muda wa kutosha kuingia kwenye zege na kuanza kuvuja. Katika maeneo yanayopita maji mara nyingi huwa na mifereji […]