PAA LA MABATI
-Uezekaji wa mabati ndio uwezekaji ambao ni maarufu zaidi katika zama hizi tunazoishi sasa. Uezekaji wa mabati unatumika katika kila aina ya majengo na miradi ya ujenzi mikubwa kwa midogo. Paa la mabati ni jepesi, imara, linapatikana kwa bei nafuu, halipitishi maji kabisa na linapatikana katika aina nyingi sana. FAIDA ZA PAA LA MABATI -Paa […]
