Entries by Ujenzi Makini

Jengo Lako Ni Biashara Na Utambulisho Wako

Na Architect N. Moshi +255717452790 Habari Ndugu Karibu Tuendelee Kuelimishana Mambo Zaidi Kuhusu Namna Tunajenga Majengo Yetu Ndugu mdau wa ujenzi, kitu nataka nikukumbushe leo ambacho watu wengi hawajui ni kwamba, jengo lako ni biashara -Jengo au nyumba ni tofauti na vitu vingine, jengo huwa liko wazi linaonekana na kila na linakuwa ndio kama utambulisho […]

KUWA MAKINI, EPUKA KUTUMIA GHARAMA KUBWA KUJENGA NYUMBA/JENGO BOVU

Na Architect N. Moshi +2557174590 Habari Ndugu Karibu Tuendelee Kuelimishana Zaidi Kuhusu Ujenzi Ili Kuiboresha Zaidi Dunia Ya Ujenzi Unaweza Ku-SHARE(Kushirikisha) Ujumbe Huu Kwa Ndugu, Jamaa, Rafiki, Ili Kumwepusha Na Changamoto Hizi Kwa Namna Moja Au Nyingine Wakati Huu Au Wakati Mwingine Yatakapomkuta Ndugu Mdau Wa Ujenzi Haijalishi uko makini kiasi gani, pale utakapoanza ujenzi […]

AINA ZA UJENZI

UJENZI WA KUTUMIA MIHIMILI YA ZEGE Ujenzi wa kutumia mihimili ya zege ndio ujenzi maarufu na unaotumia zaidi kuliko aina nyingine za ujenzi duniani kote. Hii ni aina ya ujenzi ambapo mihimili yote ya jengo inajengwa kwa kutumia zege. Mihimili inayolala inaitwa boriti(beams) na mihimili inayosimama wima inaitwa nguzo(columns). Mihimili ambao ndio hubeba watu na […]