KUFANYA MAAMUZI SAHIHI KWENYE UJENZI DHIBITI HISIA ZAKO.
Kuna baadhi ya maeneo kwenye ujenzi yanayohitajika kufanya maamuzi sahihi zaidi kuliko maeneo mengine. Lakini kwa sababu ya udhaifu mkubwa tulionao binadamu huwa tunaongozwa na hisia na hivyo kupoteza umakini kwenye kile haswa ambacho tunapaswa kufanya. Hili limepelekea kuishia kufanya maamuzi yasiyo sahihi na kusababisha madhara na hasara kubwa kwetu na hatimaye kuishia kwenye majuto […]