USANIFU MAJENGO NA UJENZI – 17 – UJENZI MAHAKAMANI
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Kesi mahakamani ya Hopton Stoddard dhidi ya Howard Roark inasomwa mwezi Februari/1931. 2. Steven Mallory, Austen Heller, Roger Enright, Kent Lansing na Mike wanakaa upande mmoja katika eneo moja. Watu ni wengi sana mahakamani na wengi ni watu wanaofahamiana. 3. Howard Roark amekaa peke yake bila kuwa na wakili, […]