NYUMBA UFUKWENI YA AUSTEN HELLER NA HOWARD ROARK.
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. – Howard Roark amepata kazi kwenye kampuni ya John Erik Snyte. Anaanza kazi mara moja, siku hiyo hiyo na kukesha akifanya kazi. – Ellsworth Toohey anaitisha mgomo mkubwa wa wafanyakazi. Ellsworth Toohey anasifika kwa msimamo na kutopokea rushwa na anakataa fedha anazotaka kupewa. – Guy Francon anamtambulisha Peter Keating kwa […]