KUNA MAKOSA KWENYE UJENZI AMBAYO HAYAWEZA KUONDOLEWA NA UKARABATI.
Kama tunavyoendelea kusisitiza siku zote kabla ya kuanza ujenzi wa nyumba yako au jengo lako jambo la kwanza kabisa na muhimu sana kufanya ni kukutana na mtaalamu wa ujenzi kwa upande wa usanifu majengo na uhandisi ili kujadili mradi wako ambao utakufaa wewe kwa maana ya kukuvutia na kuendana na mahitaji yako. Hii ndio hatua […]