Entries by Ujenzi Makini

PAA LA VIGAE VYA MAWE

Kuna aina fulani ya mawe yanayotokana na miamba ya aina ya mwamba moto ambayo hukaa muundo wa bapa hivyo baada ya kuchongwa kidogo na kuwa myembamba hutumika kama vigae kuezeka kwa kupangiliwa kwa umakini mkubwa. FAIDA ZA PAA LA VIGAE VYA MAWE -Paa la vigae vya mawe ni zuri sana kwa kutunza hali ya hewa […]

PAA LA MAKUTI

Paa za makuti ni moja kati ya ubunifu wa mwanzo kabisa wa uezekaji wa binadamu na bado linaendelea kutumika sana duniani kote mpaka leo hii. Makuti haya ambayo mara nyingi huwa yametengenezwa na majani makavu huenda juu kwa pembe ya nyuzi 45 na kutengeneza mteremko mkali na kuwa na unene wa kufikia mita 0.4 au […]

PAA NA MIFUMO YA UEZEKAJI(ROOFING SYSTEMS)

Tunapozungumzia paa hapa tunazungumza paa lililonyanyuka kwa nyuzi kadhaa juu na likafunikwa na bati, vigae, makuti au aina nyingine yoyote ya malighafi ya kufunika paa. Hatuzungumzii zege iliyomwaga katika ulalo(flat) juu ya nyumba na kufunika nyumba. -Kwa kawaida paa zinazohusishwa teknolojia kidogo ya materials huenda juu sana kwa maana ya kunyanyuka kwa zaidi ya nyuzi […]

MADIRISHA YA CHUMA.

Madirisha ya chuma ni aina ya madirisha yanayotengenezwa na malighafi imara sana ya madini ya chuma ambapo yanakuwa na fremu nyembamba hivyo kuweza kuongeza uwazi mkubwa zaidi wa dirisha wa kuona upande wa nje. Chuma sio rahisi kuikata kama ilivyo kwa aluminium hivyo kazi kubwa inafanyika kiwandani zaidi kuliko katika eneo la ujenzi. FAIDA ZA […]

MADIRISHA YA UPVC

UPVC ni aina Fulani ya plastic ngumu ambayo mara nyingi huchanganywa na chuma ndani ili kutengeneza fremu za madirisha milango au aina nyingine za malighafi za ujenzi. Kutokana na muonekano bora wa PVC siku hizi imekuwa ikitumiwa sana katika ujenzi hasa kwenye maeneo ya madirisha na milango. FAIDA ZA MADIRISHA YA UPVC -Madirisha ya UPVC […]

MADIRISHA YA MBAO

Madirisha ya mbao ni aina ya madirisha ambayo yanatengenezwa kwa kutumia mbao zilizovunwa kutoka kweye aina mbalimbali za miti. Kwa miaka mbao imekuwa ikitumika katika kutengeneza madirisha japo kwa sasa utumiaji wa mbao katika madirisha umepungua sana. FAIDA ZA MADIRISHA YA MBAO -Mwonekano, mwonekano unaovutia ni moja ya sababu watu wengi hupendelea madirisha ya mbao. […]

MADIRISHA YA ALUMINIUM

Malighafi ya aluminium ni nyepesi na imara na sahihi sana kwa kutengeneza madirisha. Aluminium haiathiriwi na unyevu kama ilivyo kwa mbao wala kuharibika kwa kujikunja kutokana na joto kali. FAIDA ZA MADIRISHA YA ALUMINIUM -Yanadumu kwa muda mrefu sana, madirisha ya aluminium yana uimara wa kudumu kwa miaka 30 mpaka 50 na hata zaidi bila […]

AINA ZA MADIRISHA KUTOKANA NA MUUNDO.

Inaendelea. -MADIRISHA YANAYONINGINIA/HUNG/SASH WINDOWS – Hii ni aina ya madirisha ambayo hutembeak ama ilivyo kwa sliding windows lakini tofauti yake ni kwamba hung/sash windows yatembea kutoka juu kwenda chini au chini kwenda juu kama yananinginia. Katika aina hii ya madirisha aina maarufu zaidi ni yale ambayo linafunguka dirisha moja na sehemu nyingine ni sehemu isiyofunguka, […]

AINA ZA MADIRISHA

Kuna namna mbili za kuyaeleza madirisha AINA ZA MADIRISHA KUTOKANA NA MUUNDO AINA ZA MADIRISHA KUTOKANA NA MALIGHAFI ILIYOTUMIKA KUYATENGENEZA AINA ZA MADIRISHA KUTOKANA NA MUUNDO. -MADIRISHA YASIYOSOGEA/FIXED WINDOWS – Haya ni madirisha rahisi zaidi katika aina zote za madirisha, ni madirisha yasiyofungwa wala kufunguliwa hivyo yanatumika zaidi maeneo yenye hali ya hewa ya baridi […]

AINA KUU MBILI ZA KUTA KUTOKANA NA UIMARA

Baada ya kuangalia aina kuu mbili za kuta kutokana na matumizi sasa tuangalie aina kuu mbili za kuta kutokana na uimara na kile inachojumuisha. AINA KUU MBILI ZA KUTA KUTOKANA NA UIMARA NA KILE INACHOJUMUISHA Kuta nzito pana Kuta nyepesi nyembamba Kuta Nzito Pana – Hizi ni kuta ambazo hutengenezwa kwa matofali ya kuchoma au […]