NYUMBA NZURI YENYE BUSTANI KIGAMBONI
Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255717452790.
This author has not written his bio yet.
But we are proud to say that Ujenzi Makini contributed 775 entries already.
Architect Sebastian Moshi. Whatsapp/Call +255717452790.
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Bodi ya wakurugenzi inaweka kikao na Gail Wynand na kuhoji maamuzi yake kwenye kampuni yanayosababisha kuiweka kampuni kwenye migogoro. Wanamhoji Gail Wynand kwa nini anamtetea Howard Roark na kwa nini amewafukuza kazi wafanyakazi wanne wakubwa ndani ya kampuni. 2. Hata hivyo Gail Wynand ndio mmiliki na mwenye kura nyingi […]
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Howard Roark anaenda kwa Dominique na kumwambia anataka amsaidie jambo. Dominique anakubali. Anamwambia usiku wa saa tano aende na gari yake karibu na mradi wa Cortlandt na kujifanya anahitaji msaada kutoka kwa mlinzi wa eneo. Kisha watasogea umbali kama wa kilomita moja na eneo hilo la ujenzi na Dominique […]
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Peter Keating anaenda ofisini kwa Howard Roark kujaribu kumshawishi amsaidia kufanya kazi hiyo ya mradi wa serikali wa Cordlandt wa watu wa kipato cha chini. 2. Howard Roark anamwambia yuko tayari kufanya hivyo lakini kwa masharti fulani. Peter Keating anamuuliza kama yeye hahitaji mradi huo anamjibu kwamba anahitaji lakini […]
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Gail Wynand anamjulisha Dominique kwamba Howard Roark aliyejenga Stoddard Temple na kupata ukosoaji mkubwa atakuja kupata chakula cha jioni na wao hapo nyumbani na ndiye aliyemchagua kujenga nyumba yao mpya nje ya mji. 2. Dominique anamuuliza Gail Wynand kwa nini ameamua kumchagua Howard Roark kujenga nyumba yao. Anamjibu kwamba […]
KITABU: *FOUNTAINHEAD* AUTHOR: *AYN RAND.* 1. Dominique na Gail Wynand wanakwenda tena mapumzikoni, na wanajadili mambo mbalimbali ikiwemo siasa kwa kirefu sana. 2. Dominique anajaribu kumshawishi Gail Wynand kumfukuza kazi Ellsworth Toohey kwa sababu ni mtu hatari sana. Dominique anasema ni vyema akamfukuza Gail Wynand mapema kabla hajachelewa. 3. Gail Wynand anapuuzia na kumwambia Dominique […]
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Ellsworth Toohey anaonekana kubadili msimamo wake kuanza kuunga mkono mitindo ya kisasa ya Usanifu Majengo. Anajaribu kuonyesha kutambua mchango wa Henry Cameron katika harakati za kupigania mitindo ya kisasa ya Usanifu Majengo. 2. Guy Francon anatangaza kustaafu na kumwachia Peter Keating kampuni ya Francon & Keating. Peter Keating anakuwa […]
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Dominique na Gail Wynand wanaondoka na boti ya kifahari ya Gail Wynand inayoitwa “I DO” na kwenda safari ya siku kumi mapumzikoni. Wanazungumza kuhusiana na topiki mbalimbali za falsafa kwa muda mrefu sana. 2. Gail Wynand anavutiwa sana na Dominique na kumshawishi waoane. Anasema haitoshi kuwa hawara peke yake […]
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Peter Keating na Dominique anajadili mambo mbalimbali. Peter Keating anamwambia Dominique kwamba kuna mtu mmoja hampendi kabisa, anasema jina lake ni Howard Roark. Dominique anafikiria juu ya hilo kwa muda kidogo. 2. Ellsworth Toohey anawatembelea Peter Keating na Dominique na kumshawishi Peter Keating kwamba anapaswa kufanya bidii aweze kupata […]
KITABU: FOUNTAINHEAD. AUTHOR: AYN RAND. 1. Gail Wynand alizaliwa kwenye familia maskini sana na kukulia kwenye mitaa ya watu maskini. Mama yake alifariki akiwa na umri wa miaka 2 na baba yake alifariki akiwa na umri wa miaka 16. Alikuwa ndiye mtoto pekee wa kiume katika familia. 2. Gail Wynand alijiingiza kwenye genge la wahalifu […]
Ujenzi Makini ni Mtandao unaotoa elimu na ushauri kwa mambo yote yanayohusu ujenzi na changamoto zote za kiufundi na kitaaluma katika fani ya ujenzi kwa lengo la kuboresha zaidi huduma na mazingira ya ujenzi kwa ujumla.
Dar es Salaam, Tanzania.
+255 717 452 790
info@ujenzimakini.com
