Entries by Ujenzi Makini

UJENZI WA MAJENGO NA ATHARI ZA KIMAZINGIRA (ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT(EIA)”.

Miradi mingi ya ujenzi hasa miradi mikubwa huwa na athari kubwa zaidi za kimazingira katika mazingira ambayo mradi unakuwepo ambayo huleta madhara kwa wakaazi wa eneo husika. Hivyo kuna vigezo vya athari za kimazingira vilivyowekwa na mamlaka zinahusika ili kuruhusu mradi kufanyika. Athari za kimazingira za mradi ziko za aina nyingi sana kama jinsi ilivyo […]

VIVULI VYA MAEGESHO YA MAGARI (CAR SHADES)

Kutokana na mazoea watu wanapofirikia kuhusu maegesho ya magari hufikiria katika mitazamo mikubwa miwili. Ikiwa ni maegesho ya magari nyumbani basi ni aidha kuna eneo la wazi la nje la maegesho ya magari au ni eneo la ndani ya nyumba la kuegesha gari au magari. Ikiwa ni maegesho ya magari katikati ya mji au maeneo […]