USIPUUZE UTAALAMU, MAKOSA KWENYE UJENZI NI UHAKIKA.
Watu wengi hupuuzia huduma za kitaalamu, wengine hupuuzia kuanzia katika hatua ya awali kabisa ya kuandaa michoro ya ramani wakati wengine hupuuzia wakati ujenzi unaendelea katika hatua ya kufanya mradi wenyewe. Haya yote mawili ni makosa makubwa na mara nyingi utakuja kulipia gharama kubwa zaidi kuliko hiyo ya kitaalamu unayojaribu kuikwepa. Wakati mradi wowote wa […]