JENGO NI MPANGILIO WA NAFASI ZA KIMATUMIZI(SPATIAL ORGANISATION)
-Unapoliangalia jengo kwa nje kama sio mtaalamu wa masuala ya majengo unaweza kujiuliza maswali mengi sana y ani namna gani jengo hilo limefikia hapo lilipofikia. Kuna mtu mwingine anaweza kufikiri kwamba limefikia hapo kwa kanuni rahisi na mwingine akafikiri limefikia hapo kwa kanuni tata kutegemea na mtazamo na uelewa tofauti wa kila moja. Lakini tafsiri […]
