Entries by Ujenzi Makini

NYUMBA NYINGI ZINAJENGWA CHINI YA KIWANGO

Moja kati ya mambo muhimu ambayo bado hayapewa uzito unaostahili uelewa wa viwango mbalimbali vya huduma za ujenzi. Kazi nyingi za ujenzi hufanyika lakini hakuna mfumo wa kupima viwango vya ubora vya kazi husika na kuleta mrejesho ambao kwa kutumia vigezo fulani utasaidia kuweka madaraja mbalimbali ya viwango vya yatakayohamasisha ubora zaidi wa kazi. Suala […]

WATU WENGI WALIOJENGA KWA RAMANI ZA KWENYE MITANDAO BILA KUHUSISHA MTAALAMU WAMEISHIA KWENYE MAJUTO.

Kuna watu wanaamini kwamba ramani za kujenga nyumba zinapatikana kwenye mitandao, wakati mwingine ni ushauri kutoka kwa marafiki au watu wa karibu kwamba kama unataka kujenga nyumba unaweza kuchukua ramani kwenye mitandao. Ukweli ni kwamba kuna uwezekano wa zaidi ya asilimia 95% kwamba ramani unayoitoa kwenye mitadao haikufai, hata kama umeinunua kwa pesa kama aliyekuuzia […]

RAMANI ZA NYUMBA ZA MITANDAONI SIO TATIZO, TATIZO NI KUMPATA ALIYEIFANYA.

Watu wamekuwa wakifikiri kwamba wanaweza kuchukua ramani ya nyumba kwenye mtandao na kwenda kuijenga kwa sababu imeshakamilika. Ukweli ni kwamba ramani za kwenye mitandao ni changamoto sana kama jinsi ilivyo kwa kitu kingine chochote cha kwenye mitandao. Kwa kawaida mradi wa ujenzi ni vitu vinavyogharimu fedha nyingi na hivyo ukifanya makosa utajikuta unayalipia kwa gharama […]