Entries by Ujenzi Makini

MASHARTI NA VIGEZO VINAVYOHITAJIKA ILI KUPATA KIBALI CHA UJENZI HALMASHAURI

Japo kila halmashauri ya manispaa au halmashauri ya mji ina masharti yanayotofautiana kwa kiasi katika kutimiza vigezo vya kuweza kupewa kibali cha ujenzi wa jengo ndani ya manispaa au mji husika lakini msingi wa mahitaji yake hufanana. Kwanza inatakiwa ukamilisha angalau seti saba za michoro ya usanifu majengo katika nakala ngumu angalau tatu. Michoro hiyo […]

VIBALI VYA UJENZI NA USAJILI WA MRADI WA UJENZI TANZANIA.

Baada ya michoro ya ramani za ujenzi kukamilika mamlaka husika zimeweka utaratibu wa kufuatilia vibali vya ujenzi ili kuhalalisha mradi husika katika utaratibu wa kisheria. Ambapo kuna aina mbili za mamlaka zinazotoa vibali vya ujenzi zilizogawanyika katika idara mbalimbali. Kwanza kuna kibali cha ujenzi kutoka Halmashauri ya manispaa au mji husika ambacho ndicho hutangulia kwanza […]