Entries by Ujenzi Makini

NAMNA YA KUINGIZA FALSAFA YA UJENZI YA “LEAN CONSTRUCTION” KWENYE UTEKELEZAJI.

“Lean Construction” ni falsafa na sio mchakato wa hatua kwa hatua, kwa hiyo ili kunufaika na mfumo huu wa “lean construction” ni kuingiza falsafa hii katika utekelezaji katika kila kitengo cha kampuni na katika kila hatua ya ujenzi. Mambo Ya Kufanya Katika Kutekeleza Falsafa Hii Ya “Lean Construction”. -Kuwapa wafanyakazi uhuru zaidi wa kimaamuzi: Kila […]

FAIDA ZA KUTUMIA FALSAFA YA UJENZI YA “LEAN CONSTRUCTION”.

Falsafa ya ujenzi ya “lean construction” inaleta mapinduzi katika kila hatua ya mchakato mzima wa ujenzi ambapo inahitaji kila timu inayofanya kazi kwenye mradi wa ujenzi kuja pamoja na kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na kuweka ubunifu na ufanisi wa hali juu katika mradi husika. Matokeo yatakayotokana ya falsafa ya ujenzi ya “lean construction” yatakayotokana […]

MISINGI YA FALSAFA YA UJENZI YA “LEAN CONSTRUCTION”

-Maboresho endelevu: Makampuni yanayotumia mfumo huu wa falsafa ya ujenzi ya “lean construction” yamewekeza sana katika kuendelea kuboresha kila siku na kutafuta namna na mbinu za kuboresha huduma za ujenzi. -Kuepuka mabaki na uchafu: Makampuni yanayotumia falsafa hii ya ujenzi ya “lean construction” yanajitahidi kufanya kazi kupunguza mabaki ya malighafi ya vifaa na ujenzi na […]

FALSAFA YA UJENZI YA “LEAN CONSTRUCTION”.

Falsafa ya ujenzi ya “lean construction” ni aina ya usimamizi wa ujenzi ambao unalenga kupunguza yale mabaki ya malighafi ya ujenzi au mabaki ya vifaa vinavyotumika kufanya ujenzi katika tasnia ya ujenzi huku ukiongeza thamani kubwa kwa wateja. Falsafa hii ya ujenzi ya “lean construction” ambayo imeendelea kupata umaarufu mkubwa katika fani ya ujenzi duniani […]

UMUHIMU WA MAWASILIANO SAHIHI KATIKA UJENZI

Katika kila hatua ya mradi wa ujenzi kuanzia hatua ya kwanza ya kutengeneza “concept” na kuandaa michoro ya ramani kuna maamuzi muhimu ambayo huhitajika kufanyika kutoka kila upande unahusika na mradi wa ujenzi. Maamuzi haya ni muhimu na huhitajika kufanyika ila kazi iweze kuendelea katika uelekeo sahihi ambao umekubalika na pande zote. Kuwepo kwa mawasiliano […]

CHANGAMOTO ZA MATOFALI YA KUCHOMA

Kutumia muda mwingi kwenye kujenga Matofali ya kuchoma ni madogo madogo kwa saizi ambapo yanaingia mengi zaidi karibu hata mara mbili ya matofali ya bloku hivyo inachukua muda mrefu sana kukamilisha kazi kwa sababu matofali ya kujenga ni mengi. Usahihi wa kazi Matofali ya kuchoma yanapaswa kutengenezwa kwa umakini mkubwa yawe katika usahihi wa kiwango […]

FAIDA ZA TOFALI ZA KUCHOMA

Ni nyepesi Katika ujenzi uzito wa tofali unasababisha kazi inaenda taratibu na fundi kuchoka haraka, tofali za kuchoma ni nyepesi hivyo mtu anaweza kuzijenga kwa haraka na kwa wingi zaidi bila kuchoka kiurahisi n ahata kazi ikafanyika kwa usahihi kwa sababu ya wepesi wa tofali zenyewe. Hata hivyo kwa kawaida tofali za kuchoma ni ndogo […]

FIKIRI KWA USAHIHI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI.

Kawaida gharama za ujenzi wa nyumba mpaka inakamilika huwa ni kubwa, kwa ujumla kujenga nyumba sio kitu unaweza kukilinganisha na vitu kama kununua gari au kununua kiwanja kwani gharama za ujenzi ni kubwa sana mpaka nyumba kukamilika. Ukubwa wa gharama hizi umekuwa ukiwafanya watu kufikiria sana namna ya kuzipunguza kwa njia mbalimbali na hapa ndipo […]