
KUONGEZEKA KWA GHARAMA KWENYE UJENZI (VARIATION)
0 Comments
/
Katika kuomba zabuni ya ujenzi(tendering) kampuni au mtu binafsi…

MAFUNDI WAZURI WA UJENZI BILA USIMAMIZI SAHIHI BADO INAWEZA KUWA NI KAZI BURE.
Kwenye baadhi ya kazi za ujenzi watu wamekuwa wakishangaa kwa…

KUOKOA MUDA NA USUMBUFU SAJILI MRADI WA UJENZI KWA JINA LA KWENYE HATI.
Watu wengi hununua ardhi kwa ajili ya kuiendeleza kwa maana…

NYUMBA UNAYOJENGA KWA RAMANI ZA KUPEWA HAITAKURIDHISHA.
Katika kuridhisha au kusaidia watu wasiojua namna ya kupata…

UTAALAMU, USIMAMIZI NA MAKUBALIANO MAALUM VITAKUHAKIKISHIA UBORA.
Tumejifunza kwamba kazi nyingi za ujenzi zinafanyika chini ya…

NYUMBA NYINGI ZINAJENGWA CHINI YA KIWANGO
Moja kati ya mambo muhimu ambayo bado hayapewa uzito unaostahili…

GHARAMA SAHIHI YA UJENZI INAPATIKANA BAADA YA MICHORO KUKAMILIKA.
Gharama za ujenzi wa mradi ndio kitu cha kwanza ambacho karibu…

WATU WENGI WALIOJENGA KWA RAMANI ZA KWENYE MITANDAO BILA KUHUSISHA MTAALAMU WAMEISHIA KWENYE MAJUTO.
Kuna watu wanaamini kwamba ramani za kujenga nyumba zinapatikana…

RAMANI ZA NYUMBA ZA MITANDAONI SIO TATIZO, TATIZO NI KUMPATA ALIYEIFANYA.
Watu wamekuwa wakifikiri kwamba wanaweza kuchukua ramani ya…

KILA MWENYE WAZO LA KUJENGA ANAPASWA KUZUNGUMZA NA MTAALAMU WA UJENZI.
Bila kujali hata kama una kiwanja au bado, kama unataka kujenga…