ITENDEE HAKI PESA YAKO KATIKA UJENZI KWA KUWEKA USIMAMIZI MAKINI
Kushindwa kufanya ujenzi wa viwango bora ni kushindwa tu kufikiria kwa usahihi, kwa maana nyingine ni kushindwa kujua nguvu kubwa uiweke wapi na wapi ili kupata huduma ya viwango bora na kufanikisha lengo kwa mafanikio ya hali ya juu. Moja kati ya vitu muhimu kabisa katika ujenzi ni ule ushauri wa kitaalamu kwenye mradi husika […]
